Yos. 1:16 SUV

16 Wakamjibu Yoshua, wakasema, Hayo yote uliyotuamuru tutayafanya, na kila mahali utakakotutuma tutakwenda.

Kusoma sura kamili Yos. 1

Mtazamo Yos. 1:16 katika mazingira