Yos. 1:2 SUV

2 Musa mtumishi wangu amekufa; haya basi, ondoka, vuka mto huu wa Yordani; wewe na watu hawa wote, mkaende hata nchi niwapayo wana wa Israeli.

Kusoma sura kamili Yos. 1

Mtazamo Yos. 1:2 katika mazingira