Yos. 1:5 SUV

5 Hapatakuwa mtu ye yote atakayeweza kusimama mbele yako siku zote za maisha yako; kama nilivyokuwa pamoja na Musa, ndivyo nitakavyokuwa pamoja na wewe; sitakupungukia wala sitakuacha.

Kusoma sura kamili Yos. 1

Mtazamo Yos. 1:5 katika mazingira