Yos. 10:10 SUV

10 BWANA naye akawatapanya mbele ya Israeli, naye Israeli akawaua uuaji ulio mkuu hapo Gibeoni, akawafukuza waikimbilie hiyo njia ya kukwelea kwenda Beth-horoni, na kuwapiga hata kufikilia Azeka, tena hata kufikilia Makeda.

Kusoma sura kamili Yos. 10

Mtazamo Yos. 10:10 katika mazingira