Yos. 10:18 SUV

18 Basi Yoshua akasema, Haya, vingirisheni mawe makubwa mdomoni mwa lile pango, kisha wekeni watu hapo ili kuwalinda;

Kusoma sura kamili Yos. 10

Mtazamo Yos. 10:18 katika mazingira