Yos. 10:2 SUV

2 ndipo wakacha mno, kwa sababu Gibeoni ulikuwa ni mji mkubwa, kama ilivyo miji ya kifalme mmojawapo, tena kwa sababu ulikuwa ni mji mkubwa kupita Ai, tena watu wake wote walikuwa ni mashujaa.

Kusoma sura kamili Yos. 10

Mtazamo Yos. 10:2 katika mazingira