21 ndipo hao watu wote wakamrudia Yoshua maragoni huko Makeda salama; hakuna mtu awaye yote aliyetoa ulimi kinyume cha hao wana wa Israeli hata mmojawapo.
Kusoma sura kamili Yos. 10
Mtazamo Yos. 10:21 katika mazingira