Yos. 10:27 SUV

27 Kisha wakati wa kuchwa jua, Yoshua akatoa amri, nao wakawatelemsha katika hiyo miti, na kuwatupa katika lile pango ambamo walikuwa walijificha kisha wakatia mawe makubwa mdomoni mwa pango, hata hivi leo.

Kusoma sura kamili Yos. 10

Mtazamo Yos. 10:27 katika mazingira