31 Kisha Yoshua akapita kutoka hapo Libna, na Israeli wote pamoja naye, wakafika Lakishi, wakapanga marago mbele yake na kupigana nao;
Kusoma sura kamili Yos. 10
Mtazamo Yos. 10:31 katika mazingira