Yos. 10:33 SUV

33 Wakati huo Horamu, mfalme wa Gezeri, akakwea ili kuusaidia Lakishi, lakini Yoshua akampiga yeye na watu wake, hata asimsazie hata mtu mmoja.

Kusoma sura kamili Yos. 10

Mtazamo Yos. 10:33 katika mazingira