Yos. 11:1 SUV

1 Kisha ikawa, hapo huyo Yabini, mfalme wa Hazori, aliposikia habari ya mambo hayo, akatuma mjumbe aende kwa Yobabu, mfalme wa Madoni, na kwa mfalme wa Shimroni, na mfalme wa Akshafu,

Kusoma sura kamili Yos. 11

Mtazamo Yos. 11:1 katika mazingira