Yos. 11:19 SUV

19 Haukuwapo mji hata mmoja uliofanya amani na wana wa Israeli, isipokuwa ni wale Wahivi wenye kukaa Gibeoni; wakaitwaa yote vitani.

Kusoma sura kamili Yos. 11

Mtazamo Yos. 11:19 katika mazingira