Yos. 13:1 SUV

1 Basi Yoshua alipokuwa mzee, na kwendelea sana miaka yake, BWANA akamwambia, Wewe umekuwa mzee na kwendelea sana miaka yako, kisha inasalia nchi nyingi sana bado kumilikiwa.

Kusoma sura kamili Yos. 13

Mtazamo Yos. 13:1 katika mazingira