Yos. 13:12 SUV

12 ufalme wote wa Ogu uliokuwa katika Bashani, huyo aliyekuwa akitawala katika Ashtarothi na katika Edrei (huyo alisalia katika mabaki ya wale Warefai); kwa kuwa Musa aliwapiga hao na kuwafukuza.

Kusoma sura kamili Yos. 13

Mtazamo Yos. 13:12 katika mazingira