Yos. 13:32 SUV

32 Hizi ndizo mirathi ambazo Musa alizigawanya katika nchi tambarare za Moabu, ng’ambo ya pili ya Yordani, kukabili Yeriko, upande wa mashariki.

Kusoma sura kamili Yos. 13

Mtazamo Yos. 13:32 katika mazingira