Yos. 13:7 SUV

7 Basi sasa gawanya nchi hii, iwe urithi wa hizi kabila kenda, na nusu ya kabila ya Manase.

Kusoma sura kamili Yos. 13

Mtazamo Yos. 13:7 katika mazingira