Yos. 13:9 SUV

9 kutoka huko Aroeri, iliyo pale ukingoni mwa bonde la Amoni, na huo mji ulio pale katikati ya bonde, na nchi tambarare yote ya Medeba mpaka Diboni;

Kusoma sura kamili Yos. 13

Mtazamo Yos. 13:9 katika mazingira