Yos. 14:1 SUV

1 Kisha hizi ndizo nchi ambazo wana wa Israeli walizitwaa katika nchi ya Kanaani, ambazo Eleazari kuhani, na Yoshua mwana wa Nuni, na vichwa vya nyumba za mababa wa kabila za Israeli, waliwagawanyia,

Kusoma sura kamili Yos. 14

Mtazamo Yos. 14:1 katika mazingira