Yos. 14:11 SUV

11 Hata sasa mimi nina nguvu zangu hivi leo kama nilivyokuwa siku hiyo Musa aliyonituma; kama nguvu zangu zilivyokuwa wakati huo, na nguvu zangu ndivyo zilivyo sasa, kwa vita na kwa kutoka nje na kuingia ndani.

Kusoma sura kamili Yos. 14

Mtazamo Yos. 14:11 katika mazingira