3 Kwa kuwa Musa alikuwa amekwisha kuwapa urithi hizo kabila mbili na nusu, ng’ambo ya pili ya Yordani; lakini hakuwapa Walawi urithi uwao wote kati yao.
Kusoma sura kamili Yos. 14
Mtazamo Yos. 14:3 katika mazingira