Yos. 14:9 SUV

9 Kisha Musa akaniapia siku hiyo, akasema, Hakika hiyo nchi ambayo miguu yako imekanyaga itakuwa ni urithi kwako wewe, na kwa watoto wako milele, kwa sababu wewe umemfuata BWANA, Mungu wako, kwa utimilifu.

Kusoma sura kamili Yos. 14

Mtazamo Yos. 14:9 katika mazingira