Yos. 15:11 SUV

11 kisha mpaka ukatokea hata kufikilia upande wa Ekroni upande wa kaskazini; tena mpaka ulipigwa hata Shikroni, na kwendelea hata kilima cha Baala, kisha ukatokea hapo Yabneeli; na matokeo ya mpaka yalikuwa baharini.

Kusoma sura kamili Yos. 15

Mtazamo Yos. 15:11 katika mazingira