Yos. 15:13 SUV

13 Kisha alimpa huyo Kalebu mwana wa Yefune sehemu kati ya wana wa Yuda, kama BWANA alivyomwamuru Yoshua, maana ni Kiriath-arba, ni huyo Arba aliyekuwa babaye Anaki (huo ndio Hebroni).

Kusoma sura kamili Yos. 15

Mtazamo Yos. 15:13 katika mazingira