Yos. 15:19 SUV

19 Huyo mwanamke akasema, Nipe baraka; kwa kuwa umeniweka katika nchi ya kusini, unipe na chemchemi za maji pia. Ndipo akampa chemchemi za maji ya juu, na chemchemi za maji ya chini.

Kusoma sura kamili Yos. 15

Mtazamo Yos. 15:19 katika mazingira