Yos. 16:10 SUV

10 Nao hawakuwatoa Wakanaani waliokuwa Wakikaa Gezeri; lakini hao Wakanaani waliketi kati ya Efraimu, hata hivi leo, wakawa watumishi wa kufanya kazi za shokoa.

Kusoma sura kamili Yos. 16

Mtazamo Yos. 16:10 katika mazingira