Yos. 16:3 SUV

3 kisha ikatelemkia upande wa magharibi hata kuufikilia mpaka wa Wayafleti, hata mpaka wa Beth-horoni ya chini, hata kufikilia Gezeri; na matokeo yake yalikuwa hapo baharini.

Kusoma sura kamili Yos. 16

Mtazamo Yos. 16:3 katika mazingira