Yos. 16:8 SUV

8 Kutoka hapo Tapua mpaka ukaendelea upande wa magharibi hata kijito cha Kana; na matokeo yake yalikuwa baharini. Huo ndio urithi wa hao wana wa Efraimu kwa kuandama jamaa zao;

Kusoma sura kamili Yos. 16

Mtazamo Yos. 16:8 katika mazingira