Yos. 17:10 SUV

10 upande wa kusini ilikuwa ni mali ya Efraimu, na upande wa kaskazini ilikuwa ni mali ya Manase, na bahari ilikuwa mpaka wake; nao wakafikilia hata Asheri upande wa kaskazini, na kufikilia hata Isakari upande wa mashariki.

Kusoma sura kamili Yos. 17

Mtazamo Yos. 17:10 katika mazingira