Yos. 17:3 SUV

3 Lakini Selofehadi, mwana wa Heferi, mwana wa Gileadi, mwana wa Makiri, mwana wa Manase, hakuwa na wana waume ila binti; na majina ya hao binti zake walikuwa wakiitwa Mala, na Noa, na Hogla, na Milka, na Tirsa.

Kusoma sura kamili Yos. 17

Mtazamo Yos. 17:3 katika mazingira