Yos. 17:6 SUV

6 kwa sababu hao binti za Manase walikuwa na urithi katika wanawe waume; na nchi ya Gileadi ilikuwa ni mali ya hao wana waume wa Manase waliosalia.

Kusoma sura kamili Yos. 17

Mtazamo Yos. 17:6 katika mazingira