Yos. 17:8 SUV

8 Hiyo nchi ya Tapua ilikuwa ni mali ya Manase; lakini ule mji wa Tapua uliokuwa katika mpaka wa Manase ulikuwa ni mali ya wana wa Efraimu.

Kusoma sura kamili Yos. 17

Mtazamo Yos. 17:8 katika mazingira