Yos. 19:27 SUV

27 kisha ukazunguka kuelekea maawio ya jua mpaka Beth-dagoni, nao ukafikilia hata Zabuloni, tena mpaka bonde la Iftaeli upande wa kaskazini hata Bethemeki na Neyeli; kisha ukatokea hata Kabuli upande wa kushoto;

Kusoma sura kamili Yos. 19

Mtazamo Yos. 19:27 katika mazingira