Yos. 19:29 SUV

29 kisha mpaka ulizunguka kuelekea Rama, na mji wa Tiro ulio na boma; kisha mpaka ulizunguka kuelekea Hosa; na matokeo yake yalikuwa baharini katika nchi ya Akzibu;

Kusoma sura kamili Yos. 19

Mtazamo Yos. 19:29 katika mazingira