Yos. 19:9 SUV

9 Huo urithi wa hao wana wa Simeoni ulitoka katika fungu la wana wa Yuda; kwa maana hilo fungu la wana wa Yuda lilikuwa ni kubwa mno kwao; kwa hiyo wana wa Simeoni walikuwa na urithi katikati ya urithi wao.

Kusoma sura kamili Yos. 19

Mtazamo Yos. 19:9 katika mazingira