Yos. 2:12 SUV

12 Basi sasa, nawasihi, niapieni kwa BWANA, kwa kuwa nimewatendea ihisani, ya kwamba ninyi nanyi mtaitendea ihisani nyumba ya baba yangu; tena nipeni alama ya uaminifu;

Kusoma sura kamili Yos. 2

Mtazamo Yos. 2:12 katika mazingira