Yos. 2:21 SUV

21 Naye akasema, Na iwe hivyo kama yalivyo maneno yenu. Akawatoa, nao wakaenda zao; naye akaifunga ile kamba nyekundu dirishani

Kusoma sura kamili Yos. 2

Mtazamo Yos. 2:21 katika mazingira