Yos. 2:6 SUV

6 Lakini yeye alikuwa amewapandisha darini, akawaficha kwa mabua ya kitani, aliyokuwa ameyatandika juu ya dari.

Kusoma sura kamili Yos. 2

Mtazamo Yos. 2:6 katika mazingira