Yos. 2:9 SUV

9 akawaambia wale wanaume, Mimi najua ya kuwa BWANA amewapa ninyi nchi hii, na ya kuwa hofu imetuangukia mbele yenu, na ya kuwa wenyeji wote wa nchi wanayeyuka mbele yenu.

Kusoma sura kamili Yos. 2

Mtazamo Yos. 2:9 katika mazingira