Yos. 20:5 SUV

5 Na kama huyo mwenye kujilipiza kisasi cha damu akimwandamia, ndipo hawatamtoa huyo mwuaji kumtia mkononi mwake huyo; kwa sababu alimpiga mwenziwe naye hakujua, wala hakumchukia tangu hapo.

Kusoma sura kamili Yos. 20

Mtazamo Yos. 20:5 katika mazingira