Yos. 20:7 SUV

7 Nao wakaweka Kedeshi katika Galilaya katika nchi ya vilima ya Naftali, na Shekemu katika nchi ya vilima ya Efraimu, na Kiriath-arba (ndio Hebroni) katika nchi ya vilima ya Yuda.

Kusoma sura kamili Yos. 20

Mtazamo Yos. 20:7 katika mazingira