Yos. 21:13 SUV

13 Kisha wakawapa wana wa Haruni kuhani Hebroni pamoja na malisho yake, huo mji wa kukimbilia kwa ajili ya mwuaji, na Libna pamoja na malisho yake;

Kusoma sura kamili Yos. 21

Mtazamo Yos. 21:13 katika mazingira