Yos. 21:20 SUV

20 Na jamaa za wana wa Kohathi, Walawi, hao wana wengine wa Kohathi waliosalia, wao walikuwa na miji ya kura yao katika kabila ya Efraimu.

Kusoma sura kamili Yos. 21

Mtazamo Yos. 21:20 katika mazingira