Yos. 21:25 SUV

25 Tena katika hiyo nusu ya kabila ya Manase, Taanaki pamoja na malisho yake, na Gath-rimoni pamoja na malisho yake; miji miwili.

Kusoma sura kamili Yos. 21

Mtazamo Yos. 21:25 katika mazingira