Yos. 21:28 SUV

28 Tena katika kabila ya Isakari, Kishioni pamoja na malisho yake, na Daberathi pamoja na malisho yake;

Kusoma sura kamili Yos. 21

Mtazamo Yos. 21:28 katika mazingira