40 Miji hiyo yote ilikuwa ni miji ya wana wa Merari kwa kuandama jamaa zao, ni hizo jamaa za Walawi zilizosalia; na kura yao ilikuwa ni miji kumi na miwili.
Kusoma sura kamili Yos. 21
Mtazamo Yos. 21:40 katika mazingira