Yos. 21:7 SUV

7 Na wana wa Merari kwa kuandama jamaa zao walipata katika kabila ya Reubeni, na katika kabila ya Gadi, na katika kabila ya Zabuloni, miji kumi na miwili.

Kusoma sura kamili Yos. 21

Mtazamo Yos. 21:7 katika mazingira