Yos. 22:10 SUV

10 Nao walipofika pande za Yordani, zilizo katika nchi ya Kanaani, hao wana wa Reubeni, na wana wa Gadi, na nusu ya kabila ya Manase, wakajenga madhabahu huko karibu na Yordani, iliyoonekana kuwa ni madhabahu kubwa.

Kusoma sura kamili Yos. 22

Mtazamo Yos. 22:10 katika mazingira