Yos. 22:18 SUV

18 hata ikawa hamna budi hivi leo kugeuka na kuacha kumwandama BWANA? Kisha itakuwa, kwa kuwa ninyi mwamwasi BWANA hivi leo, kwamba kesho yeye atakasirika na mkutano wote wa Israeli.

Kusoma sura kamili Yos. 22

Mtazamo Yos. 22:18 katika mazingira