Yos. 22:20 SUV

20 Je! Huyo Akani mwana wa Zera hakukosa katika vile vitu vilivyowekwa wakfu, na hasira ikauangukia mkutano wote wa Israeli? Kisha mtu huyo hakuangamia peke yake katika uovu wake?

Kusoma sura kamili Yos. 22

Mtazamo Yos. 22:20 katika mazingira