Yos. 22:24 SUV

24 au kama sisi tumefanya jambo hili kwa hadhari sana, tena makusudi, huku tukisema, Katika siku zijazo wana wenu yamkini wakanena na wana wetu, na kusema, Ninyi mna nini na BWANA, yeye Mungu wa Israeli?

Kusoma sura kamili Yos. 22

Mtazamo Yos. 22:24 katika mazingira